Jeremiah 27:20

20 aambavyo Nebukadneza mfalme wa Babeli hakuvichukua wakati alipomchukua Yekonia
Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.
mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda kwenda uhamishoni huko Babeli kutoka Yerusalemu, pamoja na wakuu wote wa Yuda na Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN